Kwa mujibu wa muonekano wa macho
waislamu duniani wataanza kufunga insha Allah kama ifuatavyo:
Tarehe 28 Juni 2014 (Siku ya jumamosi) katika
maeneo ya Polynesian.
Tarehe 29 Juni 2014 (Siku ya Jumapili) katika maeneo ya
Australia, Sri Lanka, nchi za Amerika na nchi za Afrika, pia upo uwezekano
mdogo kwa nchi za kusini Mashariki mwa Asia.
Tarehe 30, Juni 2014 (Siku ya Jumatatu) kwa
nchi zilizosalia.
KUMBUKA HAYA YOTE HAYATOZUIA KUDRA YA ALLAH
(SW)
Chanzo: www.moonsight.com
No comments:
Post a Comment