Friday, June 27, 2014

TAARIFA KUHUSU MUANDAMO WA MWEZI.

TANBIIH: 



HADI SASA HAKUNA TAARIFA ZOZOTE ZA KUANDAMA KWA MWEZI, AMBAZO ZIMETHIBITISHWA.

ZIKITUFIKIA TUTAKUA WA KWANZA KUKUHABARISHA.

ZISIPOTHIBITI SIKU YA LEO, KESHO ITAKUA NI SHAABAN 29 KITAIFA AU 30 KIMATAIFA.



RAMADHAN KAREEM

No comments:

Post a Comment