HIVI NDIO MAMBO YALIVYO KUHUSU MWANDAMO WA MWEZI WA SHAWWAL (1435) &EID
IL FITRI JUMAPILI 27TH JULY 2014
AKILI
KICHWANI MWAKO!
Kwahisani ya:
BY MUBA
Taarifa
za mwandamo wa mwezi wa Shawwal (Eid il fitri) 1435 zilianza kusubiriwa kwa
hamu tokea siku ya jumamosi ya tarehe 26th July 2014, kutokana na
baadhi ya nchi kuwa zilikwisha weka matumaini ya kuonekana kwa mwezi mwandamo. Hata
hivyo kwa mujibu wa wataalamu wa elimu ya mienendo ya mwenzi hakuna nchi yeyote
iliyofanikiwa kuuna mwezi mwandamo kutokana na kutokuwepo uwezekano wa
kuonekana kwake.
Nigeria:
- Haukuonekana: Kareem Isa (mjumbe wa MCW) kutoka Abuja Kado alikua na haya ya kusema, “leo ni Ramadhani 29 hapa na ni sawa na tarehe 26th July 2014. Kwa kiasi kuna mawingu mawingu, na nimejaribu kufuatilia tokea 19:00 hadi 19:20 na hakuna taarifa za mwezi kuonekana.
SUNDAY,
27 JULY 2014:
Mwezi hautarajiwi kuonekana
takribani ulimwengu mzima, ispokuwa unaweza kuonekana kwa taabu katika bara la
Amerika Kusini, na unaweza kuonekana kwa uwazi katika visiwa vya Polysenia,
ambapo huko kuna maripota wetu wa kiislamu wachache. Na kuna uwezekano mdogo mno kwa nchi ya Afrika
Kusini hata hivyo ni wale tu wenyeuzoefu wa uchunguzaji wa mwezi mwandamo ndio
wengeweza kuuona mwezi.
- Australia:
- Haukuonekana: Shahidi ni mwakilishi wetu Abbas Aly (MCW) kutoka Annangrove NSW amesema: 27th July 2014, kulikua na mawingu madogomadogo, hivyo mwezi haukuweza kuonekana kwa macho matupu. Wanakamilisha ramadhani 30, Eid Jumanne.
- Mwakilishi mwengine ni Engr Manzoor A Mian (MCW mwanahabari wetu) akiwepo Melbourne, VIC akiripoti kuwa Eid ni Jumanne, July 29th .
- Mwengine ni Dr. Shabbir Ahmed (MCW mwanahabari wetu) Imam wa masjid Rooty Hill Mosque Sydney, NSW
- Brunei:
- Haukuonekana: Na mwanahabari wetu, Dr. Mohammed Hussain Ahmad, amesema mwezi haukuonekana na umetangazwa kupitia televisheni ya taifa kuwa watakamilisha siku 30 za Ramadhani. Hivyo Eid kuwa Jumanne 29th July 2014-
- China:
- Haukuonekana: mwanahabari wetu Dr. Musa·Minhai (MCW member) akiwepo Linxia Gansu Province amesema mwezi haukuonekana ingawa baadhi ya MAULAMAA wametoa fatwa ya kuwa kesho ni Eid, na kufanya waumini kugawika na wengine kusherehekea Eid Jumanne 29th July 2014 wakikamilisha siku 30
- Chile. umeonekana/ taarifa kamili tutawaletea zitakapothibitika.
- Fiji Islands:
- Haukuonekana: Eid ni jumanne 29th July 2014.
- Ghana:
- Haukuonekana:
- India: haukuonekana. Hali ya anga iligubigwa na mawingu.
- Indonesia:
- Haukuonekana: Anga ilikuwa nzuri licha ya kuwepo kwa mawingumawingu. Hata hivyo waziri wa masuala ya kidini kwa kutumia njia ya makadirio ya mahesabu, ameweza kutangaza siku ya kwanza ya shawwal kuwa ni Jumatatu ya tarehe 28th July 2014, hivyo kesho kuwa Eidil fitri .
- Kenya:
- Haukuonekana:
Na mwanahabari wetu: Ali
Mohamed kutoka Mombasa
Hali ya anga ilikuwa safi hata hivyo mwezi haukuonekana
- Morocco:
- Haukuonekana: Eid ni Jumanne 29th July 2014.
- New Zealand:
- Haukuonekana: Eid ni Jumanne 29 July 2014.
- Oman:
- haukuonekana: Na mwanahabari wetu Habibur Rahman Farooqui akiwa Oman Eid itasherehekewa jumanne 29.07.2014 imetangazwa na kamati ya ufuatiliaji wa mwezi mwandamo.
- Qatar:
- Wametangaza: Na mwanahabari wetu: Muhammad Imran Paracha akiwepo Doha amesema: Wizara ya Fatwa na masuala ya kidini imetangaza kuwa jumatatu 28th July 2014 ni siku ya Eid bila kueleza mwezi umeonekana wapi, hivyo kuonesha kuwa wamefuata Saudi.
- Saudi Arabia:
- Haukuonekana: Na mwanahabari wetu Sheik A.A. Ishola akiwepo Makkah amesema: licha ya kufatiliwa kwa umakini mwandamo wa mwezi, lakini umeshindikana kuonekana kutokana na hali ya anga kufunikwa na mawingu.
- Mwezi umetangazwa: Na mwanahabari wetu, Najeeb Qasmi akiwepo Saudi Arabia amesema: hapa Saudia Eid itafurahiwa kesho, Jumatatu 28th July 2014 kama mahakama ya Saudia ilivyokwisha tangaza kwamba mwezi muandamo umeonekana, licha ya kutokueleza umeonekana wapi, na umeshuhudiwa na nani.
- South Africa:
- Haukuonekana: Na mwandishi wetu, Dr. Husain Sayanvala akiwepo Johannesburg
- Umeonekana: Na mwandishi wetu, Mahmood (Bhaai) Cassim akiwepo Johannesburg amesema radio ya Kiislamu, ML Bham imetangaza kuwa Eid itakuwa kesho Jumatatu, (28 July) mwezi umeonekana katika maeneo ya mabonde ya kaskazini, na Lenasia kusini.
TAARIFA HII IMELETA UTATA: Kutokana na kupatikana kwa taarifa
hii, imetulazimu kuwasiliana na wanahabari wetu wengine wengi na wamesema hali
ya mawingu ilikua ni nzuri, na kiukweli hakuna taarifa za ukweli juu ya kauli
hii.
- Umeonekana: Na mwanahabari wetu Moustafa Sanouss amesema, Nimeweza kuongea na Jopo la Maulamaa kutoka South Africa Johannesburg na wamenithibitishia kuwa mwezi umeonekana katika maeneo tofautitofauti, nah ii hiki hapa ni nchanzo ambazo unaweza kuwasiliana nao http://www.jmtsa.co.za/contact-us/head-office/
Kauli hii pia imedadavuliwa na Moonsighting.com: Tumejaribu kuwasiliana
na wanahabari wetu wote walioko South Africa, na wengi wao wamesema mawingu
yalikuwa mazuri na hakuna kamati yeyote ya mwandamo wa mwezi ambayo imeweza
kuona mwezi mwandamo. Hivyo suala la kuonekana kwa mwezi muandamo Afrika kusini
ni Utata.
- Tanzania:
- Haukuonekana: Mwanahabari wetu Hamza Rijal
akitokea visiwani Zanzibar
- Yemen:
- Wamekamilisha siku 30: Na mwanahabari wetu khadija Mohamed akitokea Yemen reported: wayemeni wamekamilisha siku 30 hivyo Eid itakuwa Jumatatu.
SIKU RASMI YA KWANZA
YA SHAWWALI KATIKA NCHI MBALIMBALI NI KAMA IFUATAVYO
JUMAPILI,
27 July 2014:
- Hijri Committee of India, kikundi kidogo cha wahindi
- Nigeria (waliotangaza mwezi kimakosa kutokana na lawama za mwandamo wa mwezi )
JUMATATU, 28 JULY 2014:
- Afghanistan (wamewafuata Saudia )
- Albania (wamewafuata Saudia
- Algeria (wamewafuata Saudia)
- Armenia (wamewafuata Saudia)
- Austria (wamewafuata Saudia)
- Azerbaijan (wamewafuata Saudia)
- Bahrain (wamewafuata Saudia)
- Bangladesh (baadhi ya maeneo wamewafuata Saudia)
- Belgium (wamewafuata Saudia)
- Bolivia (wamewafuata Saudia)
- Bosnia and Hercegovina (wamewafuata Saudia)
- Bulgaria (wamewafuata Saudia)
- Canada (kutokana na baraza la fatwa la N/Amerika)
- Chechnia (wamewafuata Saudia)
- China (Waliowengi wamefuata kalenda ya Makka MeccaCalendar.org)
- Cosovo (wamefuata Turkey)
- Croatia (wamefuata Turkey)
- Denmark (wamewafuata Saudia)
- Egypt – mwezi ulizaliwa kabla ya jua kuzama & moon ulibakia kwa muda wa dakika 5 baada ya jua kuzama.
- Fiji Islands http://www.fianz.co.nz/eid-ul-fitr-1435h
- Finland (wamewafuata Saudia)
- France (umoja wa waislamu wa Ufaransa)
- Georgia (wamewafuata Saudia)
- Hungary (wamewafuata Saudia)
- Iceland (wamewafuata Saudia)
- Indonesia (Inadaiwa kuona – wametangaza rasmi)
- Iraq (wamewafuata Saudia)
- Ireland (ECFR - European Council for Fatwa and Research)
- Italy (Follow Saudi)
- Jordan (Follow Saudi)
- Kazakhstan (Follow Saudi)
- Kenya (Claims of sighting)
- Kuwait (Follow Saudi)
- Kyrgizstan (Follow Saudi)
- Lebanon (Follow Saudi)
- Luxembourg (ECFR - European Council for Fatwa and Research)
- Macedonia (Follow Turkey)
- Malaysia (Age > 8 hours, altitude > 2°, elongation > 3°)
- Mauritania (Follow Saudi)
- Montenegro (Follow Turkey)
- Netherlands (Follow Saudi)
- New Zealand (Federation of Islamic Association of New Zealand) http://www.fianz.co.nz/eid-ul-fitr-1435h
- Norway (Some follow Saudi)
- Palestine (Follow Saudi)
- Philippines (Follow Saudi)
- Qatar (Follow Saudi)
- Romania (Follow Saudi)
- Russia (Follow Turkey)
- Saudi Arabia (Official Announcement)
- Serbia (Follow Turkey)
- Slovania (Follow Turkey)
- South Africa (Local Sighting)
- Spain (Some Follow Saudi)
- Sudan (Follow Saudi)
- Sweden (Follow Saudi)
- Switzerland (Follow Saudi)
- Syria (Follow Saudi)
- Taiwan (Follow Saudi)
- Tajikistan (Follow Saudi)
- Tatarstan (Follow Saudi)
- Tunisia (Criteria of age, or altitude, or sunset-moonset lag)
- Turkey (Somewhere on the globe Altitude > 5°, elongation > 8°)
- Turkmenistan (Follow Saudi)
- U.A.E. (Follow Saudi)
- UK (Follow Saudi) [Coordination Committee of Major Islamic Centres and Mosques of London]
- UK (Local Sighting) [Wifaaqul ulama), (Ahle Sunnat Wal Jamaat], OR (Sighting from South Africa)
- USA (FCNA/ISNA - Fiqh Council of North America/Islamic Society of North America)
- Uzbekistan (Follow Saudi)
- Yemen (Completed 30 days)
- Zimbabwe (South Africa Sighting)
TUESDAY, 29 JULY 2014:
- Australia (watauona kwa jocho la wazi)
- Brunei (watauona kwa jocho la wazi)
- China (Some follow Local Sighting)
- India (Local Sighting)
- Iran (Local Sighting)
- Morocco (Local Sighting)
- Oman (Local Sighting)
- Spain (Some Follow Morocco)
- Sri Lanka (Local Sighting)
- Tanzania (Local Sighting)
No comments:
Post a Comment