HATA WAO WALIKUA KAMA SISI, WAMEFANYA YAKUYAFANYA NA LEO ZIMEBAKI ATHARI ZAO, HISTORIA ZITAWAHUKUMU.
LAKINI KUMBUKA TUPO KATIKA MARHALA YA MAISHA YA DUNIA, TUMEPITA KATIKA MARHALA YA KUUSHI KATIKA MATUMBO YA WAZAZI WETU, KUTIWA ROHO, BADO KUSHI MAKABURINI HADI MUDA ALLAH ATAKAO TAKA. LAKINI YOTE TUTAFIKA KWA HAKIMU MUADILIFU ALLAH.
USIDANGANYIKE NA MAISHA YA DUNIA YA KUPITA, NDUGU YANGU, IKAKUGHURURI DUNIA!
No comments:
Post a Comment