RAMADAN 2014
(1435)]
LINI
RAMADHAN ITAANZA/ LINE WAISLAMU WATAINGIA KATIKA MFUNGO WA RAMADHAN?
Kamati ya Mwezi ya nchini Saudi Arabia
imetangaza rasmi kuwa Ramadhan 2014 inatarajiwa kuanza rasmi jumamosi sawa na tarehe 28 June
2014
Huku ni kutokana kwa baadhi ya maeneo hasa ya kaskazini, kusini na maeneo ya kati ya bara la Amerika sambamba na baadhi ya maeneo mbalimbali katika bara la Afrika kuwepo uwezekano mkubwa wa kuonekanwa kwa mwezi mwandamo katika maeneo hayo.
Huku ni kutokana kwa baadhi ya maeneo hasa ya kaskazini, kusini na maeneo ya kati ya bara la Amerika sambamba na baadhi ya maeneo mbalimbali katika bara la Afrika kuwepo uwezekano mkubwa wa kuonekanwa kwa mwezi mwandamo katika maeneo hayo.
Maeneo yaliyosalia
duniani, hasa barani Asia, Europe, na nchi nyingi tu za Bara la Afrika na
maeneo ya mwambao yataanza Ramadhani 1435 siku ya pili yake, yaani tarehe 29
juni 2014
Zifuatazo
ni orodha ya nchi mbalimbali duniani na tarehe ya kuanza kwa mfungo
wa ramadhani 2014 (1435)
Kwa mujibu
wa kalenda ya Ummul –Qura k ya nchini saudi arabia inaonesha kuwa Ramadhani itaanza tarehe 28 Juni.
Hii ni
kutokana na kuonesha kwamba jioni ya tarehe 27 Juni, mwezi utakua na uwezo wa
kukaa kwa dakika moja tu baada ya kuzama kwa jua.
Hali hiyo inatosha kutokuwapo kwa uwezekano wa kuonekana kwa mwezi hata katika eneo hilo tukufu la Makka seuze maeneo mengine duniani.
Hali hiyo inatosha kutokuwapo kwa uwezekano wa kuonekana kwa mwezi hata katika eneo hilo tukufu la Makka seuze maeneo mengine duniani.
Kutokuwepo
kwa uwezekano wa kuonekana kwa mwezi tarehe 27 Juni, kutapelekea kuonekana kwa
mwezi tarehe 28 na kuanza kwa mfungo Mtukufu wa Ramadhani.
ORODHA YA NCHI
ZIFUATAZO ZITAANZA MFUNGO WA RAMADHANI TAREHE 28 JUNI 2014.
AFRIKA NCHI (17)
1.
Benin 2. Burkina 3. Cape
Verde
4. Equatorial Guinea 5. Gabon 6. Gambia
7. Ghana 8. Guinea 9. Guinea-Bissau
10. Ivory Coast 11. Liberia 12. Mali
13. Mauritania 14. Sao Tome and Principe 15. Senegal
16. Sierra Leone 17. Togo
NORTH AND CENTRAL AMERICA
(23)
Antigua and Barbuda, Bahamas, Barbados, Belize,
Canada, Costa Rica, Cuba, Dominica, Dominican Republic, El Salvador, Grenada, Guatemala,
Haiti, Honduras, Jamaica, Mexico, Nicaragua, Panama, Saint Kitts and Nevis, Saint
Lucia, Saint Vincent and the Grenadines, Trinidad and Tobago na United States Of
America
SOUTH AMERICA (12)
Argentina, Bolivia, Brazil, Chile, Colombia, Ecuador,
Guyana, Paraguay, Peru, Suriname, Uruguay na Venezuela
OCEANIA (1)
French Polynesia
NCHI ZITAKAZO ANZA
MFUNGO WA RAMADHANI
TAREHE 29 JUNI 2014
AFRICA (37)
Algeria, Angola, Botswana, Burundi, Cameroon, Central
African Republic, Chad, Comoros, Congo, Congo Democratic Republic, Djibouti, Egypt,
Eritrea, Ethiopia, Kenya, Lesotho, Libya, Madagascar, Malawi, Mauritius, Morocco,
Mozambique, Namibia, Niger, Nigeria, Rwanda, Seychelles, Somalia, South Africa,
South Sudan, Sudan, Swaziland, Tanzania, Tunisia, Uganda, Zambia na Zimbabwe
ASIA (44)
·
Afghanistan
·
Bahrain
·
Bangladesh
·
Bhutan
·
Brunei
·
Burma (Myanmar)
·
Cambodia
·
China
·
East Timor
·
India
·
Indonesia
·
Iran
·
Iraq
·
Japan
·
Jordan
·
Kazakstan
·
Korea, North
·
Korea, South
·
Kuwait
·
Kyrgyzstan
·
Laos
·
Lebanon
·
Malaysia
·
Maldives
·
Mongolia
·
Nepal
·
Oman
·
Palestine
·
Pakistan
·
Philippines
·
Qatar
·
Russian Federation
·
Saudi Arabia
·
Singapore
·
Sri Lanka
·
Syria
·
Tajikistan
·
Thailand
·
Turkey
·
Turkmenistan
·
United Arab Emirates
·
Uzbekistan
·
Vietnam
·
Yemen
EUROPE (48)
·
Albania
·
Andorra
·
Armenia
·
Austria
·
Azerbaijan
·
Belarus
·
Belgium
·
Bosnia and Herzegovina
·
Bulgaria
·
Croatia
·
Cyprus
·
Czech Republic
·
Denmark
·
Estonia
·
Finland
·
France
·
Georgia
·
Germany
·
Greece
·
Hungary
·
Iceland
·
Ireland
·
Italy
·
Kosovo
·
Latvia
·
Liechtenstein
·
Lithuania
·
Luxembourg
·
Macedonia
·
Malta
·
Moldova
·
Monaco
·
Montenegro
·
Netherlands
·
Norway
·
Poland
·
Portugal
·
Romania
·
San Marino
·
Serbia
·
Slovakia
·
Slovenia
·
Spain
·
Sweden
·
Switzerland
·
Ukraine
·
United Kingdom
·
Vatican City
No comments:
Post a Comment