Wednesday, June 11, 2014

TETESI: MABANDA YA WAMACHINGA SOKO LA KARUME JIJINI DAR ES SALAAM YAUNGUA.



Kunatetesi za kuzuka hali ya taharuki kutokana na kile kinachoonekana kwa mabanda ya wamachinga eneo la Soko la Karume, lililopo maeneo ya Ilala Dar es Salaam kuungua moto. Moto huo unaonekana kuwa ni mkali, na unazidi kuongezeka kwa kadri muda unavyoyoyoma. Chanzo cha habari katika tukio hilo kimeeleza kuwa moto huo unaonekana kusambaa na kuelekea maeneo ya Breweries. Tunawaombeni muendelee kufuatilia tutazidi kuwapa habari kadri zitakapothibitishwa.

No comments:

Post a Comment