VIONGOZI WENGINE WA UAMSHO MBARONI ZANZIBAR! YUMO AMIR MSELEMU ALLY
Amir wa Jumuiya ya UAMSHO sheikh Msellem
bin Ali na Katibu wake Sheikh Abdallah Madawa wanadaiwa kukamatwa wakiwa wanatoka
mahakamani kusikiliza kesi yao.
Habari kamili tutakuletea baadae! uchunguzi kwanza unaendelea.
No comments:
Post a Comment